
- George Kyomushula nasema hv..Horace Kolimba alisemaga chama hcho kimepoteza dira..wakamaindi,me nasema tumechoka nachoFriday at 3:38pm .
- Evans Peter kiukweli ccm imetuweka pazuri. Na imetuweka pabaya lakini kama wakaweza kuwatoa wenye maslai binafsi katika chama tutasonga mbele. Amini amini nakuambia kama yesu alivosema. Wasipowatoa mafisadi japo sina na sitaki sisa kwenye kampeni nitampinga yeyote wa ccm.Friday at 3:43pm ·
- Prince La Edwin Justin They have done nothing..
Daima tutawalaumu kwa kuturudisha nyuma tumekuwa tukipata umaarufu wa kishenzi usio kuwa na maana.
Wamekuwa wakiendleza siasa za kibabe na kuwakandamiza wananchi hasa tulio vijijini.
Kila kukucha afadhari ya jana tumechoshwa na unyonyaji ukandamizaji wao.Friday at 3:44pm · - Pamela Lloyd kilianza kwa jembe na nyundo sasa ni uma na kisu kamwe CHAMA CHA MAFISADI hakita pata KURA yanguFriday at 3:46pm ·
- Fadhili J. Magehema Miaka takribani kumi iliyopita tumeshuhudia uozo wa hiki chama. Kabla ya hapo at least waliweza kufanya mambo yaliyotarajiwa na wananchi.Dua yangu ni kwa hiki chama kufa tu.Friday at 3:51pm.
- Beatus Ndanu kweli kiliho na mwanzo hakikosi kua na mwisho.HUWEZI AMINI CCM NAYO NDO INAKUFAFriday at 3:57pm ·
- Kishimbo Eddie kimepoteza mvuto, ahadi wanazotoa pindi chaguzi zinapofanyika hawazitekelezi, umefika wakati sasa kukiweka pembeniFriday at 4:00pm ·
- Zuberi A Jr kwanini ajili za gari zote wanapata watu wasio na hatia, hii CCM haipati ajali?Friday at 4:30pm ·
- Ntukula Boaz Wajipange upya.na zile kauli za ccm ina wenyewe waziache ccm ni yetu sote.Friday at 4:50pm ·
- Innocent Julius Ulomi Ipunguze mafisadi iache kukumbatia mambo ya kuteketeza uchumi wa nchi kwini isipo angalia vizuri wenye uchungu na nchi yao wako karibu kuchukua nchi yao yani chadema chama la kweliFriday at 4:51pm ·
- Manyori Nyakarungu mawaasa tu waandae mbinu ya kuwatumia wajumbe wa nyumba kumi kumi kuckiliza hotuba za mwalimu...!Friday at 4:52pm.
- Daudi Jerado kaka nadhan vijana kama wakina J.Makamba,KIGWANGALA...wat
aendelea kuimarisha chama.blg yko inaitwje br Friday at 4:55pm · - Jp Sellanyika Manjiu .their death is closer than anything.i dnt wanna hear bout them holding the authority..we're tired of their bullshit systemFriday at 5:15pm ·
- Richard Mlwisa ccm ilishaoza inanuka,sidhani kama rais huwa anasikiliza hotuba za baba wa taifaFriday at 6:33pm .
- Galconex Joe Wanatuongoza kwa mabavu af wanaadvocate democracy.. they say wht they dnt pracice and practice wht they ddnt say.. Inshort wamethubutu, wameweza na wanazid kusonga mbele na ufisadi wao!Friday at 7:12pm ·
No comments:
Post a Comment